Dortmund: Baada ya Süle Atakaye Fuata ni Adeyemi

Borussia Dortmund wamekuwa kwenye mazungumzo ya kutaka kumsajili Karim Adeyemi tangu Novemba klabu ikijiamini kufikia makubaliano kamili na RB Salzburg wiki zijazo. Yeye ndiye mlengwa mkuu baada ya mkataba wa Niklas Süle kukamilika.

Dortmund: Baada ya Süle Atakaye Fuata ni Adeyemi

Wakiwa na mapango wa kuongeza wachezaji wanne zaidi baada ya usajili wa Süle kukamilika Mazungumzo tayari yamefikia sehemu nzuri kwa upande Adeyemi.

Kinda huyo wa kimataifa wa Ujerumani mwenye umri wa miaka 20 amefunga mabao 14 katika michezo 17 ya Austarlia Bundesliga na mabao 4 kwenye michezo 8 ya Ligi ya Mabingwa msimu huu.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.