Lewis Hamilton Atunukiwa Cheo cha Heshima "Sir"

Mshindi mara nane wa mbio za  langa langa “Formula 1” Sir Lewis Hamilton leo ametunikiwa cheo ch heshima na mwana mfalme Charles katika kasri la Windsor Castle.

Mwaka 2020 Sir Lewis Hamilton alikuwa ni mmoja ya watu waliopokea tuzo ya heshima kutoka kwa malkia Elizabeth II kutokana na mafanikio aliyoyapata kwenye mashindano ya F1 kwa kuitangaza vizuri nchi ya Uingereza.

Lewis Hamilton
Lewis Hamilton

Hamilton anajumuika na kina Sir Stirling Moss, Sir Jackie Stewart na Sir Jack Brabham kwenye ulimwengu wa mbio za Langa Langa kupokea heshima hiyo, ingawa Lewis ni dereva pekee ambaye bado anaendelea na mashindano ya F1 kutunukiwa.

Sherehe ya kumtunukia cheo cha “Sir” imefanyika leo Jumatano baada ya siku ya kadhaa kuisha kwa msimu wa F1, ambapo mbio hizo ziliisha kwa utata kwenye mbio za mwisho ambazo zilimfanya Max Verstappen kuibuka kidedea.


ANZA MSIMU WA SIKUKUU NA BURST THE BANK

Fanya wiki yako iwe ya ushindi mkubwa ndani ya kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo wa BURST THE BANK🔥🤑 ni moja kati ya mchezo pendwa unaowapa wachezaji mamilioni kila siku. Kwa dau dogo unashinda zaidi.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.