Vita ya nani atakuwa nahodha mpya wa Arsenal bado, kutatuliwa kutokana na kocha mkuu wa Arsenal Mikel Arteta kusema kuwa hana haraka ya kumchagua mchezaji atakaye vaa kitambaa cha unahodha kwenye klabu hiyo.

Pierre-Emerick Aubameyang amevuliwa kitambaa cha unahodha wa klabu hiyo kutokana na utovu wa nidhamu aliouwonyesha klabuni hapo

ARSENAL

Kwa sasa Arsenal wanatafuta mbadala wa Pierre-Emerick Aubameyang, ambaye ataingoza timu kwenye vipindi muhimu na kuhamasisha wachezaji wenzake, huku  kocha mkuu wa Arteta akisema kuwa hana haraka ya kumchagua nahodha wa kudumu kwa sasa.

kuna tetesi kuwa Gabriel, Kieran Tierney, Granit Xhaka, Martin Odegaard, Ben White, Alexandre Lacazette na  Aaron Ramsdale wanahusishwa kati yao ndipo jina la nahodha  mpya wa washika bunduki wa London ndipo litakapotoka.  Nani ataibuka  kati yao?


ANZA MSIMU WA SIKUKUU NA BURST THE BANK

Fanya wiki yako iwe ya ushindi mkubwa ndani ya kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo wa BURST THE BANK🔥🤑 ni moja kati ya mchezo pendwa unaowapa wachezaji mamilioni kila siku. Kwa dau dogo unashinda zaidi.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa