Makala nyingine

BONDIA namba moja nchini Hassan Mwakinyo, kesho Jumamosi Septemba anatarajia kupanda ulingoni kuzichapa na bondia Liam Smith wa Uingereza katika ukumbi wa M&S Bank Arena ndani ya jiji la Liverpool …

Mwanamasumbwi wa uzito wa juu Tyson Fury baada ya kupata ushindi wa “Knock Out” dhidi ya Dillian Whyte na kutetea ubingwa wake wa ‘WBC heavyweight’ na kusema kuwa imetosha sasa …