Wednesday, June 15, 2022

Cycling

On each category you can set a Category template style, a Top post style (grids) and a module type for article listing. Also each top post style (grids) have 5 different look style. You can mix them to create a beautiful and unique category page.

Pioli: Wote Tuanfanya Kazi kwa Dhamira Moja.

Pioli: Wote Tuanfanya Kazi kwa Dhamira Moja.

29
Stefano Pioli ameisifu timu yake ya Milan kwa kuonesha morali ileile ya kupata ushindi wakiwa Celtic pia aliona katika debi dhidi ya Inter ambayo Milan ilishinda pia. Ushindi wa 3-1 dhidi ya timu ya Celtic ambao ni Mabingwa wa ligi...
mclaren

McLaren: Mark Cavendish Atemwa Tena

20
Mchezaji wa timu ya Bahrain McLaren - mwingereza Mark Cavendish, ametemwa katika orodha ya wachezaji wa timu hiyo watakaoshiriki Mashindano ya Tour de France. Hii ni mara ya pili kwa Cavendish kutochaguliwa na timu ya Bahrain McLaren kwa miaka miwili...

Ampadu Anarejea Dimbani

48
Mchezaji wa kimataifa wa Wales, Ethan Ampadu anakaribia kurejea kwenye utimamu wa mwili baada ya kukosa mechi za ufunguzi za Bundesliga akiwa na RB Leipzig. Ampadu, 19, yupo kwa mkopo Ujerumani akitokea Premier League katika klabu ya Chelsea. Hajacheza mechi yoyote...
Tour de France Bila Mashabiki Juni

Tour de France Bila Mashabiki Juni

0
Kwa mujibu wa Waziri wa Michezo wa Ufaransa, michezo ya mbio za baiskeli za wanaume Tour de France ambazo hufanyika kila mwaka zinatazamiwa kufanyika bila kuwepo na mashabiki. Kutokana na mlipuko wa Virusi vya Korona (Covid19) michezo mingi ulimwenguni imesitishwa...
- Advertisement -
banner image

LATEST NEWS

MUST READ