Friday, September 23, 2022
Nyumbani Football Euro 2020

Euro 2020

Mount Hana Bahati na Wembley Stadium Fainali 6?

Mount Hana Bahati na Wembley Stadium Fainali 6?

0
Gundu inaendelea kwenda sambamba na Mason Mount katika uwanja wa Wembley amepoteza katika fainali sita zilizochezwa kwenye dimba hilo. Huenda ikamchukua muda kidogo kusahau fainali ya siku ya Jumamosi Chelsea dhidi ya Liverpool katika kuwania taji la FA Cup baada...
Christian Eriksen

Christian Eriksen: Najihisi Kama Mchezaji Tena

0
Mchezaji wa klabu ya Brentford na timu ya taifa ya Denmark Christian Eriksen ameshindwa kuficha furaha yake baada ya kufunga goli kwenye mchezo wake wa kwanza wa kimataifa japokuwa Denmark wamepoteza kwa goli 4-2 dhidi ya Uholanzi. Christian Eriksen amekuwa...

Atletico Madrid Wamleta Wass Wanda Metropolitano

0
Timu ya Atletico Madrid imethibitisha kumsajili mchezaji Daniel Wass akitokea Valencia kwa dili ya mkataba wa mwaka mmoja na miezi sita. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Denmark, ambaye alitarajiwa kuwa mchezaji huru mwishoni mwa msimu huu, anaripotiwa kuigharimu Atletico €2.7m...
Maloney Apata Dili ya Kuinoa Hibernian

Maloney Apata Dili ya Kuinoa Hibernian

0
Aliyekuwa kocha msaidizi wa timu ya taifa ya Ubelgiji Shaun Maloney ameachana na majukumu hayo na kuwa kocha mkuu wa klabu ya Hibernian. Maloney alilamba dili kwenye benchi la ukufunzi na bosi wa Ubelgiji Roberto Martinez - ambaye alimfundisha kama...
Eriksen Aanza Mazoezi na Timu Yake ya Zamani Odense

Eriksen Aanza Mazoezi na Timu Yake ya Zamani Odense

0
Baada ya Christian Eriksen kupata tatizo la moyo wakati wa michuano ya Euro 2020 akiwa na timu ya taifaya Denmark sasa ameanza mazoezi kwa mra ya kwanza na timu ya zamani aliyokuwa akiichezea Odense. Mchezaji huyo wa miaka 29 amepandikizwa...
Kwanini Messi Alistahili Ballon d'Or 2021 na Siyo Lewandowski?

Kwanini Messi Alistahili Ballon d’Or 2021 na Siyo Lewandowski?

0
Mshambuliaji wa PSG Lionel Messi aliibuka na ushindi wa tuzo ya Ballon d'Or ya mwaka 2021 na kumpiku straika wa Bayern Munich Robert Lewandowski ambaye alishika nafasi ya pili kwenye kinyang'anyiro hicho. Messi ambaye amejipatia tuzo hiyo kubwa kwa mara...
Barella

Barella Aongeza Mkataba na Inter Milan

0
Nicolo Barella ameongeza mkataba wa kusalia na Inter Milan mpaka june 2026, Inter wametangaza kuwa Nicolo amesaini ,kataba mpya utakaomuweka kwenye klabu mpaka tarehe  30 june 2026. Barella alijiunga na Inter Milan mwaka 2019 na imeichezea michezo 102 huku akifunga...
SHABIKI

Shabiki Aliyewabagua Wachezaji wa Uingereza Kwenda Jera

0
Shabiki aliyewabagua wachezaji wa Uingerereza Marcus Rashford, Jadon Sancho na Bukayo Saka waliokosa mikwaju ya penati kwenye michuano ya EURO2020, ahukumiwa kwenda jera kwa wiki 10. Jonathon Best mwenye miaka 52 dereva wa forkkift ambaye alitumia mtandao wa kijamii kuwaongelea...
Eriksen Hawezi Tena Kuendelea Kucheza Italia

Eriksen Hawezi Tena Kuendelea Kucheza Italia

0
Christian Eriksen hataweza kuendelea kucheza katika Serie A - na soka la Italia kwa jumla - isipokuwa kama defibrillator yake itaondolewa, mtaalam anayeongoza wa kisayansi wa Italia amethibitisha. Eriksen amewekewa kifaa kinachoweza kuusadia moyo kufuatia shambulio moyo uwanjani wakati wa...
Zola: Jorginho Anastahili Kushinda Baalon d'Or

Zola: Jorginho Anastahili Kushinda Ballon d’Or

1
Mbio za kuwania Ballon d'Or tayari zimeanza, na kiungo wa Chelsea na Italia Jorginho ni miongoni mwa wanaopewa nafasi kubwa ya kutwaa tuzo hiyo kubwa baada ya kushinda Champions League na ubingwa wa Ulaya. Fowadi wa zamani wa Chelsea na...

MOST COMMENTED

Dortmund Watoa Uwanja kwa Wahanga wa Corona

2
Klabu ya Borrusia Dortmund inaripotiwa kuwa wameamua kuutoa uwanja wao kwa waathirika wa virusi vya corona katika jitihada zao na mchango kupambana na janga...

Okwi Kurejea Simba?

HOT NEWS