Shabiki Aliyewabagua Wachezaji wa Uingereza Kwenda Jera

Shabiki aliyewabagua wachezaji wa Uingerereza Marcus Rashford, Jadon Sancho na Bukayo Saka waliokosa mikwaju ya penati kwenye michuano ya EURO2020, ahukumiwa kwenda jera kwa wiki 10.

Jonathon Best mwenye miaka 52 dereva wa forkkift ambaye alitumia mtandao wa kijamii kuwaongelea maneno ya kibaguzi wachezaji wa Uingereza wenye asili ya Afrika kwenye mchezo wa fainali kati ya Uingereza na Italia amehukumiwa kwenda jera na mahakama Willesden Magistrates Court jana jumanne.

SHABIKI
Shabiki – Jonathon Best

Moja ya rafiki yake Best alilipoti kuhusu video iliyowekwa na Best kwenye mtandao wa Facebook ambapo yeye best aligoma kuifuta wakati alipotakwa kufanya hivyo.

Wakati  waingereza wengi wakifurahia kwa mara ya kwanza timu yao ya taifa ikifika fainali ikiwa zaidi ya miaka 50 haikufanikiwa kufanya hivyo lakini Best yeye alitumia mtandao wa Facebook kuwabagua wachezaji wenye asili ya Afrika waliokosa penati kwenye mchezo huo.


MKWANJA WA KUSHATO NA AURORA BEAST HUNTER!

Mkwanja umetema ndani ya kasino za meridianbettz, Mchezo maridhawa wa Aurora Beast Hunter unakupa nafasi sawa ya ushindi leo hii, kila mzunguko una nafasi ya kuibuka mshindi, na mkwanja wako unaupata kila mzunguko utakapo kamilika.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe