Benzema Aifungia Real Madrid Goli la 1000

Mshambuliaji wa Real Madrid  Karimu Benzema ameifungia klabu yake goli la 1000 kwenye michuano ya klabu abubingwa barani Ulaya kwenye mchezo waliowakaribisha Shakhtar Donetsk kwenye dimba la Santiago Bernabeu.

Real Madrid ilikuwa inashika nafasi ya pili kwenye kundi, huku kundi hilo likiongozwa na Sheriff, inter akiwa nashia nafasi ya tatu  huku shakhtar akiwa anashika mkia kabla ya mchezo wao kuanza.

benzema

Madrid walingia wakiwa na hali ya kujiamini baada ya kumuogesha mvua ya magoli Shakhtar kwao mapema mwezi huu ya goli 5-0 nchini Ukraine

Madrid walijihakikishia goli lao la 1000 mapema ndani ya dakika 14 baada ya Vinicius  kufanikiwa kushinda mpira na kuwapa wakati mgumu kabla ya kutoa pasi na Benzema kuweka kwenye nyavu dakika ya 39 Shakhtar walifanikiwa kupata goli kupitia kwa Fernando huku tena benzema dakika ya 61 benzema akifunga goli la pili.


MKWANJA WA KUSHATO NA AURORA BEAST HUNTER!

Mkwanja umetema ndani ya kasino za meridianbettz, Mchezo maridhawa wa Aurora Beast Hunter unakupa nafasi sawa ya ushindi leo hii, kila mzunguko una nafasi ya kuibuka mshindi, na mkwanja wako unaupata kila mzunguko utakapo kamilika.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.