Qatar Kuandaa Mashindano ya Formula 1 Grand Prix
Qatar kuandaa mashindano ya Formula 1 Grand Prix kwa mara ya kwanza novemba hii, ikichukua nafasi ya Australian GP baada ya kufutwa mashindano hayo.
Mashindano hayo yamepangwa kufanyika kwenye uwanja wa Qatar Losail International Circuit novemba 21 na itakuwa mara...