NyumbaniCopa America

Copa America

HABARI ZAIDI

James Aitwa Timu ya Taifa Tena Baada ya Mwaka

0
James Rodriguez ametajwa katika kikosi cha Colombia kwa mara ya kwanza baada ya miezi kumi na mbili. Mchezaji huyo wa zamani wa Real Madrid ambaye...

Messi Njia Nyeupe Kushinda Ballon d’Or 2021

0
Mbio za kuwania Ballon d'Or mwaka huu 2021 zimefika katika hatua ya mwisho wakati mgombea mmoja ndiye anayepewa nafasi kubwa ya kushinda tuzo hiyo...

Neymar Akosolewa Kutangaza Kustaafu Kuichezea Timu ya Taifa

0
Neymar alisema kwamba kombe la dunia 2022 inaweza kuwa ndiyo mwisho wake kuichezea timu ya taifa ya Brazil sasa mara baada ya kutoa kauli...

Palmeiras Yatinga Fainali ya Copa Libertadores

0
Mshindi wa Copa Libertadores, Palmeiras imetinga fainali baada ya kutoka sare ya 1-1 na timu ya kutoka Brazili Atletico Mineiro kwenye hatua ya nusu...

Messi Aoneshwa Upendo wa Kipekee na Shabiki – Argentina

2
Lionel Messi tayari ana mengi ya kuonyesha kwa kazi yake. Ameshinda Ballon d'Or mara sita zaidi ya binadamu mwingine yeyote - mataji kadhaa ya...

Menotti: Maradona Angelia kwa Messi Kushinda Copa America

1
Hisia za ushindi wa Copa America kwa Argentina bado hazijafa na Cesar Luis Menotti anafikiria kuwa ingekuwa wakati maalum kwa marehemu Diego Maradona.Katika mahojiano...

Araujo Kucheza Mechi ya Tatu ya Kirafiki ya Barca

3
Ronald Koeman kocha wa Barcelona pole pole anaona wachezaji wake zaidi na zaidi wanarudi kazini kwa mazoezi ya kabla ya msimu, na Ronald Araujo...

Picha ya Messi ya Copa America Yavunja Rekodi Instagram

0
Wiki moja imepita tangu ushindi wa Lionel Messi wa Copa America na Argentina,Messi anayevaa jezi  Namba 10 amevunja rekodi nyingine.Ingawa wakati huu, haijatoka kwenye...

Neymar Aweka Muenekano Mpya wa Nywele

0
Neymar kawaida hushtua mashabiki uwanjani kwa uwezo mkubwa aliyonao wa kuucheza mpira akiuzungusha kwa ujasiri na nje ya uwanja , lakini wakati huu ameifanya...

Je Messi Anawapinzani wa Kweli Kwenye Ballon d’Or?

0
Lionel Messi hatimaye ameweza kushinda kombe na timu ya taifa ya Argentina, na kuisaidia nchi yake kumaliza ukame wa miaka 28 wa kutoshinda taji...