James Aitwa Timu ya Taifa Tena Baada ya Mwaka

James Rodriguez ametajwa katika kikosi cha Colombia kwa mara ya kwanza baada ya miezi kumi na mbili.

Mchezaji huyo wa zamani wa Real Madrid ambaye ameondoka Everton na kujiunga na timu ya Al-Rayyan ya Qatar mwezi September alishinda kiatu cha dhahabu katika mashindano ya kombe la Dunia 2014 aliachwa kwenye kikosi cha Colombia kwa muda mrefu.

Majereha yalimfanya kucheza chini ya kiwango alipokuwa huko Goodison Park na kuafanikiwa kucheza michezo 26 pekee kwenye mashindano yote hali iliyopelekea James kutochaguliwa kwenye michuano ya Copa Amerika.

Baada ya kufunga bao lake la kwanza katika ushindi wa 4-2 wa Al Rayyan dhidi ya Al Sailiya mwishoni mwa mwezi Oktoba Jmaes amepata nafasi ya kuitwa katika timu ya taifa ya Colombia kwaajili ya michezo dhidi ya Brazil na Paraguay mechi yake ya mwisho na Colobia ilikuwa mwaka 2020 katika ushindi wa 6-1 dhidi ya Ecuador.


MKWANJA WA KUSHATO NA AURORA BEAST HUNTER!

Mkwanja umetema ndani ya kasino za meridianbettz, Mchezo maridhawa wa Aurora Beast Hunter unakupa nafasi sawa ya ushindi leo hii, kila mzunguko una nafasi ya kuibuka mshindi, na mkwanja wako unaupata kila mzunguko utakapo kamilika.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe