Mshindi wa Copa Libertadores, Palmeiras imetinga fainali baada ya kutoka sare ya 1-1 na timu ya kutoka Brazili Atletico Mineiro kwenye hatua ya nusu fainali, huku faida ya goli la ugenini likiwavusha.
Palmeiras wamepita baada ya mechi ya pili kutoka sare ya 1-1 huku mechi ya kwanza nyumbani iliisha kwa sare ya bila kufungana, huku faida ya goli la ugenini ikiwapa nafasi ya kwenda kucheza fainali ya pili mfululizo.

Palmeiras watakuwa timu ya nne kucheza fainali mbili mfululizo taokea mwaka 200 baada ya Boca Juniors kufanya hivyo mwaka 2000-2001 na 2003 – 2004, Sao Paulo 2005 na 2006 na River Plate 2018 na 2019.
Katika mechi zao zote za nusu fainali tangia mwaka 1989 hii ndio mara ya kwanza kucheza nusu fainali na kupita pasipo kushinda na kwenda kucheza fainali.
SPACE SPIN NA MERIDIANBET.
Ni Mabingwa pekee Meridianbet wanakupa nafasi ya kushinda zaidi na mchezo wa Space Spin katika kasino bomba za meridianbet. Ni wakati wa kufurahia na kutengeza mkwanja bila kuwaza.


