Nyumbani Tennis Wimbledon

Wimbledon

Rafael Nadal

Rafael Nadal Ajiondoa Wimbledon na Olympics

0
Mchezaji tenesi namba 3 kwa ubora duniani, Rafael Nadal ameamua kujiondoa kwenye mashindano ya Wimbledon na Olympics mwaka huu. Nadal anafikia uamuzi huu akiwa tayari anamakombe kadhaa ya Wimbledon (2008 na 2010) ikiwa ni sehemu ya mataji 20 ya Grand...
Wimbledon

Wimbledon: Federer Aanza na Ushindi

1
Baada ya kuwa nje ya uwanja kwa miezi 3, Roger Federer aanza maandalizi ya Wimbledon kwa ushindi dhidi ya Ilya Ivashka. Federer amerejea uwanjani kwa mara ya kwanza baada ya kujitoa kwenye mashindano ya French Open ili ajiimarishe vizuri kiafya. 2020...
Serena

Serena Williams Atolewa US Open 2020

28
Bingwa mara 6 wa Mashindano ya US Open - Serena Williams, ameyaaga mashindano hayo baada ya kutolewa katika hatua ya nusu fainali. Katika mchezo uliowakutanisha wakongwe wawili wa mchezo wa tenisi - Serena na Azarenka, Mmarekani huyu alijikuta akishindwa kufua...

Djokovic na Konta Wamefuzu Nusu Fainali

31
Mashindano ya Western and Southern Open yanaendelea kutimua vumbi mjini Cincinnati - Marekani. Novak Djokovic na Johanna Konta wanaendelea kuwaburuza wapinzani wao na sasa wamefuzu hatua ya nusu fainali. Katika michezo yao ya robo fainali, Novak alikutana na Jan-Lennard Struff...
andy murray

Andy Murray Akiri Kasi Yake Kupungua

24
Mchezaji wa tenisi - Andy Murray amekiri kupungua kasi yake wakati huu anaotizamia kurejea kwenye Mashindano ya ATP Tour wikiendi hii. Bingwa mara 2 wa Wimbledon- Murray atakutana na Mmarekani - Frances Tiafoe katika ufunguzi wa Mashindano ya Western na...
tennis

Tennis Yaongoza Orodha ya Matajiri.

20
Utafiti uliofanywa na jarida la Forbes, umeonesha wachezaji wanawake wanaocheza mchezo wa Tennis ni miongoni mwa wanamichezo matajiri duniani. Katika orodha ya wachezaji 10, 9 wanacheza mchezo wa Tennis wakati 1 ni mcheza soka wa timu ya taifa ya Marekani...

Ujue Mchezo wa Tennis na Historia Yake.

45
Tennis (tenisi) ni aina ya mchezo unaochezwa na watu wawili au wanne wakishindana kwa kupiga mpira mdogo kwa raketi kwenye uwanja wa tennis. Shabaha ni kupiga mpira kwa upande wa mpinzani kwa namna inayomshinda kurudisha mpira. Akishindwa kurudisha mpira...

Serena Williams Atafurahi Sana Kushiriki US OPEN kwa Mwaka Huu

25
Serena Williams mwenye umri wa miaka 38 alipata majeraha mwaka 2019 lakini alipona na kufanikiwa kushiriki fainali za mwaka uliopita wa 2019 katika jiji la New York nchini Marekani, mashindano ya US Open yanatarajia kuanza tarehe 31 mwezi August...

Roger Federer Kubaki Nyumbani Mpaka Mwishoni Mwa 2020

11
Roger Federer atakua nnje ya viwanja vya Tennis kwa mwaka wote wa 2020 kutokana na kupata majeraha ya goti lake la mguu wa kulia, Jeraha hilo lililopelekea Federer kufanyiwa upasuaji litampelekea Bingwa huyo mara 20 wa Grand Slam kuuguza...

Andy Murray Kushiriki Mashindano ya Tennis ya Kujitolea

38
Mwana michezo wa mchezo wa Tennis Andy Murray amepanga kucheza shindano la kujitolea lililo andaliwa na kaka yake Jamie ambalo litasaidia kuchangia pesa kwenye Idara ya Afya ya Uingereza. Pambano hilo lililopewa jina la linatarajiwa kufanyika bila mashabiki...

MOST COMMENTED

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

17
Tetesi zinasema Barcelona huenda ikamsajili mshambuliaji wa Liverpool raia wa Senegal Sadio Mane, 28, au kiungo wa kati wa Uholanzi Gini Wijnaldum, 30, baada ya...

HOT NEWS