Iga Swiatek, Mwendo Mdundo Wimbledon.

Mwanadada, Iga Swiatek amefanikiwa kufuzu mzunguko wa 4 kunako mashindano ya Wimbledon 2021. 

Swiatek amefanikiwa kutinga kwenye hatua hiyo baada ya kumshinda Irina-Camelia Begu kwa matokeo ya seti 6-1 6-0.

Bingwa wa French Open 2020 [Swiatek] atachuana na Ons Jabeur au bingwa wa zamani wa Wimbledon, Garbine Muguruza katika mchezo wa kuwania nafasi ya kucheza robo fainali ya mashindano haya.


KUSANYA PESA HAPA!

IcyGems kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet. Ndio, ukiwa kwenye nyumba ya mabingwa, ndipo utakapoufurahia ubora wa Kasino ya Mtandaoni sambamba na kushinda kwa ushindi mkubwa! Ishi na hii, IcyGems!Meridianbet

INGIA MCHEZONI

Acha ujumbe