Tony Kroos Atangaza Kustaafu Timu Ya Taifa

Mshindi wa kombe la dunia na mchezaji wa Real Madrid ametangaza kustaafu majukumu ya kuchezea timu ya taifa ya Ujerumani ikiwa ni siku kadhaa tu baada ya Ujerumani kuondolewa na Uingereza kwenye Euro 2020.

Kroos alianza kuhudumu timu ya taifa mwaka 2010 katika kombe la dunia na alicheza mechi nne tu, hakuitwa tena mpaka 2014 na baada ya hapo na umuhimu mkubwa katika kikosi hicho wa mabingwa wa Kombe la Dunia la 2014.

Kroos akiwa na uzi wa Ujerumani amefanikiwa kucheza michezo 45 ikijumuisha na ile ya kufuzu michuano mikubwa kama kombe la dunia na Euro, na amefanikiwa kuhusika kwenye magoli 16.

Katika tamko la Tony amedai kuwa anastaafu kuchezea timu ya taifa ili aweze kujiza titi kwenye mechi zake na timu yake ya Real Madrid. Mchezaji huyu ni moja ya nguzo muhimu sana katika kikosi cha Madrid!


KUSANYA PESA HAPA!

IcyGems kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet. Ndio, ukiwa kwenye nyumba ya mabingwa, ndipo utakapoufurahia ubora wa Kasino ya Mtandaoni sambamba na kushinda kwa ushindi mkubwa! Ishi na hii, IcyGems!Meridianbet

INGIA MCHEZONI

Acha ujumbe