Wimbledon 2021: Murray Aonesha Ubora Wake.

Mashindano ya Wimbledon 2021 yanaendelea kutimua vumbi nchini Uingereza. Baadhi ya wachezaji wamejitoa kwa sababu mbalimbali, wengine wanaendelea kuonesha ubora wao.

Andy Murray ameonesha uwezo wake katika mchezo uliokuwa na upinzani mkubwa kutoka kwa Oscar Otte.

Licha ya kupoteza mchezo katika seti ya 3 na matokeo kuwa 2-1, kwa mara nyingine, Murray alipindua matokeo na kumaliza mchezo kwa mtokeo ya seti 6-3 4-6 4-6 6-4 6-2.

Murray amerejea uwanjani kwenye mashindano ya Wimbledon 2021 baada ya kuwa nje ya uwanja toka 2019 alipopata majeraha ya paja na pengine mashabiki wengi walitegemea angeachana na mchezo wa tenesi moja kwa moja.

Murray amefanikiwa kufuzu mzunguko wa 3 Ijumaa hii dhidi ya Denis Shapovalov.


KUSANYA PESA HAPA!

IcyGems kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet. Ndio, ukiwa kwenye nyumba ya mabingwa, ndipo utakapoufurahia ubora wa Kasino ya Mtandaoni sambamba na kushinda kwa ushindi mkubwa! Ishi na hii, IcyGems!Meridianbet

INGIA MCHEZONI

Acha ujumbe