Saturday, September 24, 2022
Nyumbani Cricket T20 World Cup

T20 World Cup

Ben stokes

Ben Stokes Kuikosa Michuano ya Ashes

0
Ben Stokes amefanyiwa upasuaji wa pili wa kidole cha kushoto lakini hataraji kuwepo kwenye kikosi cha Uingereza kitakacho cheza mchezo wa Ashes dhidi ya Australia kwenye majira ya baridi. Ben mwenye umri wa miaka 30, alikuwa nje kwenye mchezo wa...
Sharma

Sharma Adai Ushindi Dhidi ya Uingereza Kwenye Test Series

0
Rohit Sharma nyota wa India amezua taharuki baada ya kudai kuwa inchi yake imeshinda  kwenye Test Series ya hivi karibuni ambayo iliahirishwa kabla mechi ya fainali kuchezwa kutokana na baadhi wa wachezaji kukutwa na uviko-19 India na Uingereza bado zinajidiliana...
ECB

ECB Kuamua Hatma ya Ashes Wiki Hii

0
England cricket board (ECB) kukutana na kuamua hatma ya Ashes wiki hii kama  watendelea na Series kama ilivyopangwa  baada ya mazungumzo na  Cricket Australia. Uingereza wanajiandaa kusafiri kwenda Australia majira ya baridi, wakiwa na michezo mitano ya Test Series iliyopangwa...
Uchambuzi IPL: Kolkata Knight Rider vs Punjab Kings

Uchambuzi IPL: Kolkata Knight Rider vs Punjab Kings

0
Mechi ya 45 ya Indian Premier League (IPL) 2021 inawakutanisha Kolkata Knight Rider (KKR) wanaopambana na Punjab Kings (PBKS) kwenye Uwanja wa Dubai International Stadium huko Dubai siku ya Ijumaa. Kolkata Knight Riders wamekuwa mahiri katika nusu ya pili ya...
ipl2021

IPL 2021: Pollard Ashangalia Kupata Wicket 300

0
IPL 2021; Mchezaji wa West Indies Kieron Pollard amekuwa mchezaji wa kwanza kwenye historia ya mashindano ya T20 kushinda wicket 300. Pollard amekuwa mchezaji wa kwanza kuweka historia kwenye mchezo wa kriketi, kuwa mchezaji wa kwanza kufikisha mikimbio 10,000 na...
England Yaondoa Timu Zake Katika Safari ya Pakistan

England Yaondoa Timu Zake Katika Safari ya Pakistan

0
Baada ya New Zealand kukatisha ziara yao ya kwenda Pakistan sababu ya kile kilichoitwa "Thahadhari ya usalama" sasa England pia wametangaza kutoziruhusu timu zao kwenda nchini humo Bodi ya Kriketi ya Engalnd na Wales imethibitisha. Uamuzi huo ulisababisha mshtuko nchini...
'The Long Wait Is Over' IPL Kuanza Rasmi Jumapili Hii

‘The Long Wait Is Over’ IPL Kuanza Rasmi Jumapili Hii

0
Ligi ya IPL iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa mchezo wa Kriketi hatimaye inaenda kuanza siku ya Jumapili Septemba 19 2021 ambapo timu 31 zitachuana vikali kwa muda wa siku 21 huku kukiwa na doubleheader 10, single headers...
Virat Kohli

Virat Kohli Kuachia Unahodha.

0
Mchezaji wa timu ya Bangalore na timu ya kriketi ya India, Virat Kohli, ametangaza rasmi kuachia unahodha wa timu ya India. Kohli amekua akiiongoza timu hiyo kwa muda na sasa anaona ni muda sahihi kwake kupunguza baadhi ya majukumu ambayo...

Lasith Malinga Astaafu Kucheza Kriketi

0
Mchezaji mwenye kasi wa Sri Lanka Lasith Malinga ametangaza kustaafu kutoka kwa kila aina ya kriketi. Mtaalam wa Bowling alikuwa tayari amestaafu kutoka mashindano ya kriketi 2011 na baadaye kucheza, lakini mchezaji huyo wa miaka 38 sasa amethibitisha kuwa hatacheza...
india

India Kusimamisha Mazoezi Kutokana na Uviko19

0
India kusimamisha mazoezi yao yaliyotakiwa kufanyika  leo alhamisi kutokana na majibu mengine ya matekeo nani ya kikosi chao cha wakufunzi. Wachezaji wameambiwa kubaki kwenye vyumba vyao hotelini baada ya vipimo siku ya jumatano, msemaji wa timu ya India aliimbia BBC...

MOST COMMENTED

Nini Kimemkuta Jack Grealish?

0
Mwaka mmoja baada ya uhamisho wa Jack Grealish wa Paundi Milioni 100 kwenda Man City na badohajaonesha makali yake. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka...

Wapotevu wa Madrid

HOT NEWS