NyumbaniCricket

Cricket

HABARI ZAIDI

Sadio Mane Atabaki Kwenye Kumbu Kumbu za Watu Ballon d’Or

0
Sadio Mane Mshambuliaji wa Bayern Munich usiku wa jana ameshika nafasi ya pili katika tuzo za mwaka huu za Ballon d'Or, nyuma ya Kareem...

Sophia Smale (17):Sitaenda Shule Siku ya Kwanza.

0
Nyota anayechipukia wa kriketi Sophia Smale nafasi ya kukuza sifa yake inayokua inaweza kukubalika tu kwa walimu wake pale tu atakapolazimika kutohudhuria shule siku...

Chennai Super King Tayari Wamefuzu Fainali ya IPL

0
Ligi ya kriketi nchini India (IPL) inaelekea ukingoni na timu ya Chennai Super King tayari imekata tiketi ya kucheza fainali baada ya kuiburuza kwa...

Ben Stokes Kuikosa Michuano ya Ashes

0
Ben Stokes amefanyiwa upasuaji wa pili wa kidole cha kushoto lakini hataraji kuwepo kwenye kikosi cha Uingereza kitakacho cheza mchezo wa Ashes dhidi ya...

Sharma Adai Ushindi Dhidi ya Uingereza Kwenye Test Series

0
Rohit Sharma nyota wa India amezua taharuki baada ya kudai kuwa inchi yake imeshinda  kwenye Test Series ya hivi karibuni ambayo iliahirishwa kabla mechi...

ECB Kuamua Hatma ya Ashes Wiki Hii

0
England cricket board (ECB) kukutana na kuamua hatma ya Ashes wiki hii kama  watendelea na Series kama ilivyopangwa  baada ya mazungumzo na  Cricket Australia. Uingereza...

Uchambuzi IPL: Kolkata Knight Rider vs Punjab Kings

0
Mechi ya 45 ya Indian Premier League (IPL) 2021 inawakutanisha Kolkata Knight Rider (KKR) wanaopambana na Punjab Kings (PBKS) kwenye Uwanja wa Dubai International...

IPL 2021: Pollard Ashangalia Kupata Wicket 300

0
IPL 2021; Mchezaji wa West Indies Kieron Pollard amekuwa mchezaji wa kwanza kwenye historia ya mashindano ya T20 kushinda wicket 300. Pollard amekuwa mchezaji wa...

Usman Khawaja: Amezikosoa Uingereza na New Zealand kwa kjiondoa Pakistani Tour

0
Australia batter, Usman Khawaja ameikosa uingereza na New Zealand kujitoa kwenye michezo ya Pakistani. Usman mzaliwa wa Pakistani aliongezea kuwa anaamini maamuzi ya namna hiyo...

England Yaondoa Timu Zake Katika Safari ya Pakistan

0
Baada ya New Zealand kukatisha ziara yao ya kwenda Pakistan sababu ya kile kilichoitwa "Thahadhari ya usalama" sasa England pia wametangaza kutoziruhusu timu zao...