Friday, September 23, 2022
Nyumbani Football Copa America 2021

Copa America 2021

Imevuja, Mshindi wa Ballon d'Or 2021 ni Lewandowski

Imevuja, Mshindi wa Ballon d’Or 2021 ni Lewandowski

0
Mshindi wa tuzo ya Ballon d'Or ameshajulikana baada ya orodha ya majina kuvuja na picha iliyoonekana katika mitandao ya kijamii inaonesha straika wa Bayern Munich ndiyo mshindi wa tuzo hiyo kubwa. Jambo kama hili liliwahi kutokea mwaka 2018 kipindi ambacho...

Messi na Ronaldo Kukutana Agosti 8?

1
Barcelona wanajipanga kuwaongoza Juventus katika kombe la Joan Gamper mwezi Agosti 8 lakini ni kama watacheza bila uwepo wa Lionel Messi. Kama mambo yalivyo, mshindi wa Copa America  ni mchezaji huru kwa sasa baada ya kandarasi yake na Barcelona kuacha...
Picha ya Messi ya Copa America Yavunja Rekodi Instagram

Picha ya Messi ya Copa America Yavunja Rekodi Instagram

0
Wiki moja imepita tangu ushindi wa Lionel Messi wa Copa America na Argentina,Messi anayevaa jezi  Namba 10 amevunja rekodi nyingine. Ingawa wakati huu, haijatoka kwenye uwanja wa mpira na katika uwanja ambao hakuzoea kuvunja rekodi. Ujumbe wa Instagram wa Messi akiwa...

Je Messi Anawapinzani wa Kweli Kwenye Ballon d’Or?

0
Lionel Messi hatimaye ameweza kushinda kombe na timu ya taifa ya Argentina, na kuisaidia nchi yake kumaliza ukame wa miaka 28 wa kutoshinda taji kubwa kwa kutwaa Copa America siku ya Jumamosi usiku. Zaidi ya kuwanyamazisha baadhi ya wapinzani wake,...
Messi: Mungu Ametusaidia Wakati Huu

Messi: Mungu Ametusaidia Wakati Huu

0
Lionel Messi alikuwa dimbani Jumamosi usiku kuiongoza timu ya Argentina kwani, baada ya miaka mingi ya mafanikio katika kiwango cha klabu, mwishowe aliweza kunyanyua taji kwa nchi yake. Argentina ilishinda 1-0 dhidi ya Brazil katika fainali ya Copa America na...
Paredes: Neymar Anajua Ninachoenda Kumfanya!

Paredes: Neymar Anajua Ninachoenda Kumfanya!

0
Leandro Paredes anajiandaa kumkbili mchezaji wmenzake katika timu ya Paris Saint-Germain Neymar kwenye fainali ya Copa America kati ya Argentina dhidi ya Brazil alfajiri ya Jumapili na ameweka wazi kwamba labda wachezaji hao wawili ni marafiki nje ya uwanja...

Pumpido: Messi ni Bora Tu Hata Bila Kombe na Argentina

0
Mlinda mlango wa zamani wa Argentina Nery Pumpido, ambaye alishinda Kombe la Dunia la 1986 na Albiceleste, anasisitiza kuwa Lionel Messi ndiye mchezaji bora zaidi ulimwenguni bila kujali iwapo atashinda Copa America au la. Licha ya kazi nzuri na Barcelona,...
Neymar Awashambulia Wabrazil Watakao Ishangilia Argentina

Neymar Awashambulia Wabrazil Watakao Ishangilia Argentina

0
Neymar amewashambulia Wabrazil ambao watakuwa wakiishangilia Argentina wakati wa fainali ya Copa America. Wakazi kadhaa watatarajia kumuona Lionel Messi akiinua kombe hilo tofauti na watu wao, na kusababisha hisia kali kutoka kwa Neymar. "Mimi ni Mbrazil nina kiburi na upendo mwingi,"...
Maajabu ya Lionel Messi Mwaka 2021

Maajabu ya Lionel Messi Mwaka 2021

0
Lionel Messi amekuwa na mwaka mzuri 2021 kwa timu zote klabu ya Bracelona na timu ya taifa ya Argentina akiwa amezitisa nyavu mara 33 na kusaidia mabao mengine 13 kwenye michezo 36 ya mashindano yote. Nhodha huyo wa Barcelonaalifunga mabao...

Brazil Waitolea Macho Fainali ya Copa America

0
Kocha mkuu wa Brazil Tite na Selecao wanaitolea macho fainali ya Copa America wakati wanajiandaa kupambana na Peru katika mchezo wa nusu fainali. Mabingwa watetezi Brazil na Peru watashuka dimbani katika nusu fainali ya Jumatatu huko Rio de Janeiro. Selecao sasa...

MOST COMMENTED

Kudela Akutana na Rungu la UEFA, Kamara Nje Mechi 3.

3
Mlinzi wa Slavia Prague Ondrej Kudela amefungiwa kutocheza mechi 10 kwa kumfanyia ubaguzi wa rangi Glen Kamara, lakini kiungo wa Rangers naye amefungiwa mechi...

HOT NEWS