Venezuela Kuwakosa 12 vs Brazil Kutokana na COVID19

Kuelekea kuanza kwa mashindano ya Copa Amerika, Timu ya Taifa ya Venezuela itawakosa watu 12 wakiwemo wachezaji na wakufunzi wa benchi la ufundi.

Venezuela itakua uwanjani leo usiku kwenye mchezo wao wa kwanza dhidi ya wenyeji, Brazil. Waathirika wote, hawakuwa na dalili zozote za COVID19 walipowasili Brazil ijumaa hii.

Baadhi ya wachezaji wa timu hiyo wakiwemo Wilker Angel na Rolf Feltscher, hawakusafiri na timu hiyo kuelekea Brazil baada ya wao kukutwa wanamaambukizi ya COVID19.

Licha ya kukumbwa na tatizo hilo, Shirikisho la Soka Amerika Kusini (Conmebol) halijatoa taarifa rasmi kama mchezo huo utachezwa kama ulivyopangwa au utaghairishwa.

Mashindano ya Copa Amerika yataanza kutimua vumbi wikiendi hii mpaka Julai 10 ambapo timu 10 zitachuana katika mashindano haya.


WEKA PESA KUPITIA DUKANI MERIDIANBET!

Chukua namba yako ya akaunti na kiasi cha pesa unachotaka kuweka, sogea kwenye duka lolote la Meridianbet lililo karibu nawe utasaidiwa kuweka pesa.

Weka Pesa Meridianbet

WEKA PESA

3 Komentara

    Corona noma sana

    Jibu

    Corona hatari

    Jibu

    Covid soo

    Jibu

Acha ujumbe