Friday, June 17, 2022
Nyumbani T20 World Cup

T20 World Cup

ipl2021

IPL 2021: Pollard Ashangalia Kupata Wicket 300

0
IPL 2021; Mchezaji wa West Indies Kieron Pollard amekuwa mchezaji wa kwanza kwenye historia ya mashindano ya T20 kushinda wicket 300. Pollard amekuwa mchezaji wa kwanza kuweka historia kwenye mchezo wa kriketi, kuwa mchezaji wa kwanza kufikisha mikimbio 10,000 na...
Usman khawaja

Usman Khawaja: Amezikosoa Uingereza na New Zealand kwa kjiondoa Pakistani Tour

0
Australia batter, Usman Khawaja ameikosa uingereza na New Zealand kujitoa kwenye michezo ya Pakistani. Usman mzaliwa wa Pakistani aliongezea kuwa anaamini maamuzi ya namna hiyo yasingechukuliwa kama michezo hiyo ingekuwa inafanyika India. New Zealand wameondoa wachezaji wao kwa sababu ya usalama,...
England Yaondoa Timu Zake Katika Safari ya Pakistan

England Yaondoa Timu Zake Katika Safari ya Pakistan

0
Baada ya New Zealand kukatisha ziara yao ya kwenda Pakistan sababu ya kile kilichoitwa "Thahadhari ya usalama" sasa England pia wametangaza kutoziruhusu timu zao kwenda nchini humo Bodi ya Kriketi ya Engalnd na Wales imethibitisha. Uamuzi huo ulisababisha mshtuko nchini...

T20 WC: Faf du Plessis,Tahir na Morris Waachwa na SA

0
Faf du Plessis hajajumuishwa katika kikosi cha T20 cha Kombe la Dunia kwa timu ya Afrika Kusini licha ya kupatikana kucheza kriketi ya kimataifa ya mpira mweupe. Nahodha huyo wa zamani wa miaka 37, ambaye alistaafu mwezi Februari, haswa...

MOST COMMENTED

Sharma Adai Ushindi Dhidi ya Uingereza Kwenye Test Series

0
Rohit Sharma nyota wa India amezua taharuki baada ya kudai kuwa inchi yake imeshinda  kwenye Test Series ya hivi karibuni ambayo iliahirishwa kabla mechi...
Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

HOT NEWS