Nyumbani Football Coppa Italia

Coppa Italia

Christianinho

Christianinho na Kauli ya “Like Father Like Son”

1
Christianinho mtoto wa Christiano Ronaldo alimsikia baba yake akisema "Kaka kwenye umri kama wa Mwanangu mimi nilikuwa na njaa kali ya mafanikio, sikuwa na uhakika wa kula hivyo kila siku uwanjani ilikuwa vita ya mafanikio kwangu" Yalikuwa ni maneno ya...
maldini

PAOLO MALDINI; Jembe Lililo zaliwa na Kuhudumu Milan

1
Kwanza baba yake Cesare Maldini, au ukipenda muite Maldini Senior alikuwa mchezaji bora ligi kuu ya Italy miaka ya 60. Nadharia inasema wachezaji bora hawazai wachezaji bora. Ni wachache sana wamefanikiwa, kama 'the great Mazinho' baba mzazi wa Thiago Alcantara...
Capello Aalikwa Kwenye Mkutano wa AK Coaches World

Capello Aalikwa Kwenye Mkutano wa AK Coaches World

3
Kocha wa zamani wa Real Madrid, Fabio Capello amealikwa kushiriki katika mkutano wa mtandaoni wa AK Coaches World ambao utafanyika Mei 27 na 28 katika makao makuu ya Shirikisho la Soka la Uhispania (RFEF). Kocha huyo wa Italia anachukuliwa kama...
Zlatan

Zlatan na Lukaku, Mechi 1 Nje!

14
Baada ya kugombana uwanjani katika mchezo wa Coppa Italia, Mshambuliaji wa AC Milan, Zlatan Ibrahimovic na mshambuliaji wa Inter Milan, Romelu Lukaku - wamefungiwa mchezo mmoja. Ibrahimovic amefungiwa mchezo mmoja baada ya kupatiwa kadi 2 za njano katika mchezo mmoja....

MOST COMMENTED

Rais Perez Hajaridhishwa na Maamuzi ya Zidane.

37
Rais wa Real Madrid, Florentino Perez ameripotiwa kuwa amesikitishwa na jinsi kocha Zinedine Zidane alivyoshughulikia sakata la Bale wakati mshambuliaji huyo akiwa mbioni kujiunga...

HOT NEWS