Niwakumbushe tu kuwa Cristiano Ronaldo anataka kuondoka Juventus, atatoa tamko rasmi baada ya EURO

Moja wapo ya sababu ni kuwa anahitaji timu inayoshinda, sio kushinda mechi na kuwa nafasi ya pili kama Man U au kuwa mshindi wa pili EUROPA, hapana

ronaldo
Ronaldo akiwa na mpira katika mechi ya Juventus

Anachotaka Ronaldo ni kwenda timu yenye kikosi bora, sio tu kikosi bora bali pia wenye utimamu wa kimwili na akili  Maana kuna vikosi vingine wachezaji wanawaza tu camera na kupost Instagram

Vigezo vya Ronaldo ni rahisi sana apatikane beki kama Pepe sisi tunae Rudiger, apatikane Kiungo kama Casemiro sisi tunae Kante, apate Mpishi kama Modric sisi tunae Mount

Kifupi Ronaldo hapendi kikosi kama ndala za Guest huyo mwekundu yule njano, hapendi kikosi kama Uyoga leo mboga kesho sumu, anapenda mkosi wenye consistency kama Chelsea

Ronaldo

Pichani ni Cristiano akimgusa gusa Captain wetu Cezar Azplicueta, kupata ile ladha ladha ya UEFA kidogo maana hajagusa tangu 2018, na kifupi hii picha Roman ameiona sasa jiandaeni

Tuvumilieni kidogo, tumekutana ukubwani tu, wengine hatuwezi kuvumilia raha peke yetu


WEKA PESA KUPITIA DUKANI MERIDIANBET!

Chukua namba yako ya akaunti na kiasi cha pesa unachotaka kuweka, sogea kwenye duka lolote la Meridianbet lililo karibu nawe utasaidiwa kuweka pesa.

Weka Pesa Meridianbet

WEKA PESA

2 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa