Nyumbani European Super League

European Super League

Southgate

Southgate: England Kuchukua Euro 2020 Bado!

0
Kocha wa timu ya taifa ya Uingereza, Gareth Southgate amedai kuwa timu yake kwa sasa bado ipo kwenye kutengeneza kikosi kama ilivyo kwa timu nyingine kama Ubelgiji hivi mashabiki wasubiri subiri! Katika mahojiano na waandishi wa habari, baada ya kuuliza...
Ronaldo

Ndoa ya Ronaldo na Juve Itavunjika Baada ya Euro Kumalizika

2
Niwakumbushe tu kuwa Cristiano Ronaldo anataka kuondoka Juventus, atatoa tamko rasmi baada ya EURO Moja wapo ya sababu ni kuwa anahitaji timu inayoshinda, sio kushinda mechi na kuwa nafasi ya pili kama Man U au kuwa mshindi wa pili EUROPA,...
Klabu Zote Zilizoshiriki Super League Bado Zinamiliki Hisa

Klabu Zote Zilizoshiriki Super League Bado Zinamiliki Hisa

Hakuna klabu kati ya 12 zilizohusika na kuanzisha European Super League zilizoripotiwa kuuza hisa zao katika mradi huo. Real Madrid, Barcelona na Juventus ndizo klabu tatu pekee zilizobaki kushikamana na Super League baada ya vilabu vingine tisa vya waanzilishi kujitoa. Kulingana...
UEFA yaweka matatani timu 3

UEFA Yafungua Mashtaka Ya Kinidhamu Kwa Timu 3

1
Shirikisho la soka barani ulaya, UEFA, limeamua kuandaa mashtaka rasmi ya kinidhamu kwa timu tatu za ulaya kuhusiana na sakata la European Super League. Siku ya jana UEFA iliamua kufungua taratibu rasmi za kinidhamu kwa timu tatu za ligi ya...

MOST COMMENTED

Liverpool Kufungua Mazungumzo na Becker.

1
  Klabu ya Liverpool inakusudia kufungua mazungumzo ya mkataba mpya na kipa wao, Alisson Becker atakaporudi klabuni baada ya msimu wa joto. Mchezaji huyo wa kimataifa...

HOT NEWS