Tottenham wamekamilisha usajili wa beki Cristian Romero kwa ada inayoripotiwa kuwa ni ya pauni milioni 47. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Argentina amesaini kandarasi iliyoripotiwa ya miaka mitano na klabu …
Makala nyingine
Lionel Messi hatimaye ameweza kushinda kombe na timu ya taifa ya Argentina, na kuisaidia nchi yake kumaliza ukame wa miaka 28 wa kutoshinda taji kubwa kwa kutwaa Copa America siku …
Hatua ya makundi kwenye michuano ya Copa America 2021 ilikuwa na jumla ya michezo 20 kwaajili ya kuziondoa timu mbili pekee. Lakini sasa hatua ya makundi imeisha na Bolivia na …
Niwakumbushe tu kuwa Cristiano Ronaldo anataka kuondoka Juventus, atatoa tamko rasmi baada ya EURO Moja wapo ya sababu ni kuwa anahitaji timu inayoshinda, sio kushinda mechi na kuwa nafasi ya …
Christianinho mtoto wa Christiano Ronaldo alimsikia baba yake akisema “Kaka kwenye umri kama wa Mwanangu mimi nilikuwa na njaa kali ya mafanikio, sikuwa na uhakika wa kula hivyo kila siku …
Kwanza baba yake Cesare Maldini, au ukipenda muite Maldini Senior alikuwa mchezaji bora ligi kuu ya Italy miaka ya 60. Nadharia inasema wachezaji bora hawazai wachezaji bora. Ni wachache sana …
Timu ya Juventus imefanikiwa kubeba kombe la Coppa Italia kwa mara ya 14 sasa baada ya ushinda wa 2-1 dhidi ya Atalanta hapo jana. Katika mechi iliyoonekana kuwa na usawa …
Kocha wa zamani wa Real Madrid, Fabio Capello amealikwa kushiriki katika mkutano wa mtandaoni wa AK Coaches World ambao utafanyika Mei 27 na 28 katika makao makuu ya Shirikisho la …
Baada ya kugombana uwanjani katika mchezo wa Coppa Italia, Mshambuliaji wa AC Milan, Zlatan Ibrahimovic na mshambuliaji wa Inter Milan, Romelu Lukaku – wamefungiwa mchezo mmoja. Ibrahimovic amefungiwa mchezo mmoja …

