Nyumbani Football Copa del Rey

Copa del Rey

Wolfsburg Waondolewa Kwenye Michuano ya DFB-Pokal

Wolfsburg Waondolewa Kwenye Michuano ya DFB-Pokal

3
Wolfsburg wameondolewa kwenye DFB-Pokal baada ya kuzidisha kubadili wachezaji wakati wa mchezo wao na Preussen Muenster wa daraja la nne katika raundi ya kwanza ya mashindano. Timu ya Mark van Bommel iliruhusiwa mabadiliko matano, lakini badala yake walifanya sita, huku...

Je Messi Anawapinzani wa Kweli Kwenye Ballon d’Or?

0
Lionel Messi hatimaye ameweza kushinda kombe na timu ya taifa ya Argentina, na kuisaidia nchi yake kumaliza ukame wa miaka 28 wa kutoshinda taji kubwa kwa kutwaa Copa America siku ya Jumamosi usiku. Zaidi ya kuwanyamazisha baadhi ya wapinzani wake,...

Karim Benzema na Ufaransa ni Nyumbani

0
Siku, Masaa, Dakika na Sekunde hufanya kubadilika Kwa majira na namba za Miaka. Mwaka 2015 miaka 6 iliyopitia ilikuwa ni mara ya mwisho kuiona jezi nambari 10 ya timu ya Taifa ya Ufaransa ikiwa mbele, mgongoni Kwa Shekhe Karim...
Roma

Roma Yatangaza Wapiganaji 20 vs United.

13
Kuelekea mchezo wa pili wa nusu fainali ya Ligi ya Europa, klabu ya AS Roma imatangaza kikosi cha wachezaji 20 watakaochuana na Manchester United leo usiku. Roma wanaingia kwenye mchezo huu wakiwa na deni la magoli 4 baada ya kufungwa...
Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Messi Ashawishiwa Kuongeza Mkataba Barcelona

12
Bahada ya Barcelona kufanikiwa kutwaa taji la Copa del Rey, Rais wa klabu hiyo, Joan Laporta amesema kuwa anajaribu kumsawishi Lionel Messi asalie kikosini hapo. Mkataba wa Messi ndani ya Barcelona unatarajiwa kuisha mwishoni mwa msimu huu na mpaka sasa...
Neymar

Neymar Hauzwi hata kwa Bilioni 1 – Nasser

3
Wakala wa zamani wa Neymar anayejulikana kwa jina la Wagner Ribeiro ameweka wazi kuwa Neymar alitakiwa na Real Madrid 2019 na walikuwa tayari kumsajili kwa Euro Milioni 300 (Tsh Bilioni 828) akitokea PSG ya Ufaransa. Wagner anasema Rais wa PSG...
Bilbao

Bilbao Kucheza Fainali 2 Ndani ya Wiki 2.

6
Nchini Hispania kutachezwa fainali mbili za kombe 1 ndani ya wiki 2. Athletic Bilbao kuhusika kwenye fainali zote mbili. Hali hii ni matokeo ya kughairishwa kwa fainali ya Copa del Rey msimu wa 2019/20 ambapo Bilbao walipaswa kuchuana na Real...

Barcelona Yapindua Meza Kibabe Copa del Rey

9
Barcelona imepindua mabao ya 2-0 waliyofungwa katika mchezo wa kwanza dhidi ya Sevilla katika mashindano ya Copa del Rey na kushinda mabao 3-0 mchezo wa marudiano katika kukamilisha nusu fainali. Martin Braithwaite alifunga bao ambaloliliamua, kwa kichwa cha mbizi mapema...
Copa del Rey

Copa del Rey: Madrid Yatolewa na Alcoyano

19
Bingwa mtetezi wa La Liga - Real Madrid ameondolewa kwenye mashindano ya Copa del Rey na timu inayoshiriki ligi daraja la 3 - Alcoyano. Madrid alikuwa uwanjani akipambana na Alcoyano katika hatua ya 32 bora ya mashindano ya Copa del...
Diego Simeone

Diego Simeone Unaondoka Atletico??

18
Ni swali la kuuliza mara mbili kama ndicho alichokimaanisha Diego Simeone (El Cholo) au maana yake ni ipi hasa?? Baada ya kushuhudia timu yake ikitolewa kwenye mashindano ya Copa del Rey na timu ya Cornella inayocheza ligi daraja la 3,...

MOST COMMENTED

Kante : Ninafuraha Kuendelea Kucheza Chelsea.

0
  Kiungo wa kati wa Chelsea, N'Golo Kante anasisitiza anafurahi kuwepo klabuni hapo na anataka kupata wakati zaidi kuendelea kushinda Ligi ya Mabingwa na Blues. Kante...

HOT NEWS