Raisi wa shirikisho la mpira wa miguu nchini Hispania Luis Rubiales amejitete kuhusu kuvuja kwa jumbe za sauti za maongezi kati yake na mlinzi wa klabu ya Barcelona Pique kuhusu uhamishaji wa mahindano ya Supercopa kutoka nchini humo kwenda mashariki ya kati.

Luis Rubiales na Gerrard Pique walifanya mazungumzo kuhusu uhamisho wa michuano kuchezwa nchini Saudi Arabia kinyume na taratibu. Na shauku yao ilifanikiwa na pia waliteengeneza pesa nyingi pande zote shiriki kikiwemo chama cha soka cha nchi hiyo.

Luis Rubiales
Luis Rubiales

Lakini kuvuja kwa jumbe zao za sauti kumethibitisha utata uliokuwepo. Pique and Rubiales wana hasira ya kuingiliwa kwenye faragha yao kwenye jambo hili na kudukuliwa simu zao na watu wasiojulikana.

Luis Rubiales anadai yeye alikuwa muhunga wa vitendo vya kimafia ambapo aliibiwa baadhi ya material yake na kuuzwa. Ikiwa waliweza kumfanyia hivyo, kwanini wasingemuwekea begi la madawa ya kulevya kwenye gari lake?

Maswali ambayo wengi wanajiuliza ni ilikuwaje Pique, akiwa bado mchezaji wa Barcelona kuweza kuwa karibu kwenye mchongo huo.


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa