Romain Folz, Kocha Mkuu wa Yanga SC amekiongoza kikosi hicho kwenye mazoezi ikiwa ni maandalizi kuelekea mchezo ujao wa kimataifa, Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga SC imetoka kucheza mchezo wa Ligi Kuu Bara ya NBC dhidi ya Mbeya City uliochezwa Septemba 30 2025 wakatoshana nguvu kwa suluhu ya 0-0.

Baada ya mchezo huo tetesi zilkuwa zinaeleza kuwa huenda Roman Folz akaondoka ndani ya kikosi hicho kutokana na mwendo wa timu hiyo kutokuwa mzuri. Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga SC aliweka wazi kuwa bado Romain ni Kocha Mkuu wa Yanga SC hivyo hakuna taarifa nyingine tofauti ambayo imetoka.
Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa.


