Fountain Gate Kutambulisha Wachezaji Wake Kesho

Klabu ya Fountain Gate kesho Jumapili, itafanya tamasha ndogo la kutambulisha wachezaji wake wapya watakaotumika msimu huu. Tamasha hilo lililopewa jina la Tanzanite Day, litafanyika kwenye Uwanja wa Tanzanite Kwaraa, uliopo Wilaya ya Babati mkoani Manyara.

Fountain Gate Kutambulisha Wachezaji Wake Kesho

Hatua hiyo inakuja baada ya timu hiyo kupewa ruhusa ya kusajili wachezaji wake wapya, ambao walikwama kuingia kwenye mfumo baada ya kufungiwa kusajili kutokana na madeni.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa.

Fountain Gate Kutambulisha Wachezaji Wake Kesho

Mratibu wa Fountain Gate, Wendo Makau, alisema: “Tamasha hili ni dogo lakini lenye maana kubwa sana kwa watu wetu wa Babati, tunataka tukutane nao na wawaone wachezaji wao.”

Makala ijayo

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.