Yanga Na Hesabu Za Kimataifa Kesho

Wawakilishi wa Tanzania kwenye anga la kimataifa kwenye michuano ya Caf Champions League, Yanga SC, katika mchezo wa marudiano wa hatua ya awali wanakibarua cha kusaka ushindi dhidi  ya Wiliete SC hapo kesho.

Yanga SC itaingia uwajani ikiwa na faida ya ushindi wa mabao 3-0 waliyopata katika mchezo wa ugenini mabao yakifungwa na Aziz Andambwile aliyefungua ukurasa katika anga la kimataifa, Edmund John na Prince Dube.

Yanga Na Hesabu Za Kimataifa Kesho

Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga SC ameweka wazi kuwa mwisho wa mchezo wa ugenini ni mwanzo wa maandalizi kuelekea katika mchezo ujao wa kimataifa hivyo wapo tayari.

“Ushindi wetu ugenini haina maana kwamba kazi imekwisha bado tutaendelea kufanya maandalizi na malengo ni kuona kwamba tunavuka hii hatua tupo tayari na mashabiki wazidi kuwa pamoja nasi.”

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa.

Yanga Na Hesabu Za Kimataifa Kesho

Yanga SC imetoka kucheza mchezo wa ufunguzi wa ligi dhidi ya Pamba Jiji ikiibuka na ushindi wa mabao 3-0 Septemba 24 2025, Septemba 27 2025 itakuwa kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.