Galatasaray bado hawajatoa dhamana zinazohitajika kwa Napoli kumsaini Victor Osimhen, huku Rais wa Partenopei, Aurelio De Laurentiis, akitarajia ada ya uhamisho wa mshambuliaji huyo ilipwe ndani ya mwaka mmoja.

Mpaka sasa, bado hakuna makubaliano rasmi kati ya Napoli na Galatasaray kuhusu uhamisho wa Osimhen. Bado hakuna makubaliano kati ya Napoli na Galatasaray kuhusu Osimhen
Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Nigeria hivi karibuni alikataa tena ombi kutoka Al-Hilal na amesisitiza kuwa anataka kurejea Galatasaray pekee.
Hata hivyo, klabu hiyo ya Uturuki bado haijawasilisha dhamana za kifedha zinazohitajika ili kukamilisha usajili wake.
Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.



