Thiago Silva Kusalia Chelsea Hadi 2024

Klabu ya Chelsea wamefikia makubaliano kamili beki wao wa kati Thiago Silva juu ya mkataba mpya.

 

Thiago Silva Kusalia Chelsea Hadi 2024

Makubaliano ya mdomo yamekamilika baina ya mchezaji huyo mwenye umari wa miaka 38 na Chelsea kwenye mkataba mpya utakaotumika hadi Juni 2024, Thiago atasalia Chelsea.

Rasimu ya mkataba mpya inatayarishwa huku beki huyo wa Kibrazil akikunjua nafsi tayari kukitumia kikosi hicho ambacho kipo chini ya kocha Graham Potter ambaye kwasasa yupo kwenye presha kutokana na matokeo The Blues wanayopata.

Thiago Silva Kusalia Chelsea Hadi 2024

Silva atakuwa mmoja wa viongozi wa kikosi cha Chelsea ndani na nje ya uwanja kutokana na umri wake pamoja na kiwango chake ambacho anachokionyesha huku The Blues hao wakitarajia kukiwasha kesho dhidi ya Westham United kusaka pointi tatu.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.