Tottenham Yamfuta Kazi Kocha Mkuu Thomas Frank

Klabu ya Tottenham Hotspur imetangaza rasmi kufanya mabadiliko katika benchi la ufundi la timu ya wanaume, ambapo Kocha Mkuu Thomas Frank ameondoka leo.

Kupitia taarifa iliyotolewa na klabu hiyo, imeeleza kuwa Thomas, ambaye aliteuliwa mwezi Juni 2025, alipewa muda na sapoti ya kutosha ili kuijenga timu na kuweka msingi imara wa mafanikio ya baadaye.

Tottenham Yamfuta Kazi Kocha Mkuu Thomas Frank

Hata hivyo, mwenendo wa matokeo na kiwango cha uchezaji wa timu hiyo umeifanya Bodi ya Wakurugenzi kufikia uamuzi wa kufanya mabadiliko katika hatua hii ya msimu.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa

Tottenham imeeleza kuwa katika kipindi chote alichohudumu klabuni hapo, Thomas Frank alionesha kujituma kwa kiwango cha juu na kufanya kila juhudi kuhakikisha timu inapiga hatua.

Tottenham Yamfuta Kazi Kocha Mkuu Thomas Frank

Klabu hiyo imemshukuru kwa mchango wake na kumtakia kila la heri katika safari yake ijayo ya ukocha.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.