Farhan Kihamu Kuwa Bosi Wa Mashabiki Simba

Klabu ya Simba imefikia uamuzi wa kumuajiri mtangazaji wa Clouds Media, Farhan Kiham kuwa Mkurugenzi wa Mashabiki wa klabu hiyo na mpango wa kumtangaza imeshakamilika na itafanyika muda wowote kuanzia sasa.

Taarifa zenye uhakika na bila chembe ya shaka zinaeleza kuwa Simba wanataka kumpa jukumu la kusajili wanachama wapya wa timu hiyo kwa njia ya mtandao kama ambavyo Yanga walivyofanikiwa kwa kipindi cha muda mfupi.

Farhan Kihamu Kuwa Bosi Wa Mashabiki Simba

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa

Mtoa taarifa alisema kuwa: “Simba imeamua  kuboresha uongozi wake kwa upande wa mashabiki baada ya kuona wenzao Yanga wanafanikiwa kuvuna kipato kikubwa kwa upande wa mashabiki na ndiyo maana wameamua kumpa kazi hiyo Farhan.

Farhan Kihamu Kuwa Bosi Wa Mashabiki Simba

“Wanaamini ataweza kuunganisha watu kwa kutumia rasimali ya mashabiki ambayo wapo nayo, lakini atakuwa  na jukumu la kutengeza timu yake ambayo atapambana nayo kwenye kila eneo kusajili wanachama wapya.”

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.