Pochettino Anamfikiria Neymar Baada ya Nkunku Kufanyiwa Upasuaji

Mkufunzi wa Chelsea Mauricio Pochettino anafikiria kuungana tena na nyota wa Paris Saint-Germain Neymar msimu huu wa joto.

 

Pochettino Anamfikiria Neymar Baada ya Nkunku Kufanyiwa Upasuaji

Kocha huyo wa zamani wa Tottenham huenda akalazimika kuhamisha haraka ili kupata kuziba nafasi ya Christopher Nkunku, ambaye anatarajiwa kukaa nje ya uwanja kwa muda mrefu, kwa mujibu wa The Guardian.

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Ripoti kutoka RMC Sport zinaonyesha kwamba The Blues wamedumisha mawasiliano na wawakilishi wa Mbrazil huyo katika kipindi chote cha uhamisho wa wachezaji, ingawa anapendelea kwenda Barcelona.

Pochettino Anamfikiria Neymar Baada ya Nkunku Kufanyiwa Upasuaji

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 31 ana uhusiano wa kikazi na Pochettino, ambaye alitumia miezi 18 kuifundisha PSG, na anaweza kujiunga na bosi wake wa zamani Stamford Bridge.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Mchezaji wa kimataifa wa Brazil mwenye mechi 124 bado ana miaka miwili iliyosalia kwenye mkataba wake nchini Ufaransa, lakini anaweza kuruhusiwa kuondoka kwa ada iliyopunguzwa.

Pochettino Anamfikiria Neymar Baada ya Nkunku Kufanyiwa Upasuaji

Mabingwa hao wa Ligue 1 wangefaidika kwa kupata mshahara wake mkubwa unaoripotiwa kuwa wa thamani ya karibu £600,000 kwa wiki.

Neymar alicheza mechi 20 pekee kwenye ligi kuu ya Ufaransa msimu uliopita lakini alifanikiwa kupachika mabao 13 na kutoa assist 11.

Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Pochettino Anamfikiria Neymar Baada ya Nkunku Kufanyiwa Upasuaji

Uzoefu wake na ubora wake kwenye mpira unaweza kusaidia kuharakisha ujenzi wa Pochettino huko West London huku The Blues wakilenga kurejea kileleni kufuatia kampeni mbaya ya 2022-23.

Acha ujumbe