Mlinzi mahiri wa Nigeria, William Troost-Ekong, ametangaza kustaafu rasmi soka la kimataifa, hatua inayofunga ukurasa muhimu katika historia ya Super Eagles. Baada ya miaka takribani nane kwenye kikosi cha taifa, …
Makala nyingine
Cristiano Ronaldo ameandika ukurasa mwingine wa hadithi yake ya soka baada ya kufunga bao la aina yake, overhead kick, katika ushindi wa mabao 4-1 wa Al-Nassr dhidi ya Al-Khaleej, mchezo …
Ripoti kutoka Italia zinadai kuwa Juventus wanapanga kurejea tena katika wazo la kumsajili Granit Xhaka kwenye dirisha la usajili la Januari, zikiwa ni miezi sita tu tangu arejee Ligi Kuu …
Gazeti la Gazzetta dello Sport limearifu kuwa Tottenham Hotspur na Bayern Munich wanaonyesha nia ya kweli ya kumsajili mshambuliaji wa Juventus, Dusan Vlahovic, ambaye kwa sasa anapitia kipindi kigumu. Mchezaji …
Safari ya kuelekea Kombe la Dunia 2026 imechukua sura mpya baada ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DR Congo) kuiondoa Nigeria kwenye hatua za mchujo kwa ushindi wa mikwaju ya …
Watu wote watakuwa wanakubali kuwa mshambuliaji wa Yanga, raia wa Zimbabwe Prince Dube, anapitia kipindi kigumu sana ndani ya Yanga, baada ya kukaa muda mrefu bila kupata bao. Mbaya zaidi, …
Inaelezwa viongozi wa Yanga wamekuwa na presha kubwa kuelekea kwenye mechi yao ya kesho dhidi ya Sliver Strikers wakiwa na uhakika mdogo wa kama watafuzu kwenda hatua ya makundi ya …
Klabu ya soka ya Arsenal kutoka Uingereza imethibitisha kumpa mkataba ulioboreshwa rasmi mlinda mlango wao namba moja, David Raya, utakaodumu hadi mwezi Juni mwaka 2028. Hatua hii ni sehemu ya …
Simba SC imeendelea kuonyesha makali yake katika Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2025/26 kwa ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Namungo FC, kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Oktoba 1, …
Pamoja na Arsenal kupata ushindi wa pili mfululizo katika Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa kuichapa Olympiacos 2-0 katika dimba la Emirates, lakini furaha ya ushindi huo iligubikwa na hofu ya …
Kiungo mkongwe wa zamani wa FC Barcelona na sasa nyota wa Inter Miami, Sergio Busquets, ametangaza rasmi kuwa atastaafu soka mwishoni mwa msimu huu wa Major League Soccer (MLS), akimaliza …
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemteua rasmi Oscar Mirambo kuwa Kaimu Katibu Mkuu wa shirikisho hilo kuanzia Oktoba 1, 2025. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ofisa Habari …
Seleman Matola kocha msaidizi wa Simba SC amesema kuwa wapo tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu Bara ya NBC dhidi ya Fountain Gate unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa jioni ya …
Klabu ya Real Betis imethibitisha kumsajili rasmi Antony kutoka Manchester United kwa ada ya awali ya pauni milioni 19. Hata hivyo, maelezo ya kina ya makubaliano hayo yameonyesha mabadiliko makubwa …
Allegri anamtaka Adrien Rabiot, hata kama Yunus Musah hatauzwa, lakini gharama zake ziko nje ya bajeti ya sasa ya AC Milan kwa upande wa mshahara wake na masuala mengine. Uhusiano …
Real Madrid chini ya Xabi Alonso hawakuonyesha kiwango cha kuvutia sana siku ya Jumapili, lakini bado waliibuka na ushindi wa pili mfululizo wa La Liga kwa kuifunga Real Oviedo 3-0, …
Manchester United inaripotiwa kumvizia mshambuliaji wa Paris Saint-Germain, Randal Kolo Muani, baada ya dili lake la kujiunga na Juventus kudorora. Kwa mujibu wa ripoti, nyota huyo wa Ufaransa mwenye umri …

