IBENGE ANATAKA KUWA KOCHA WA KUKUMBUKWA AZAM FC
Hesabu za Kocha Mkuu wa Azam FC raia wa DR Congo, Florent Ibenge ni kutengeneza hadithi tamu na ya kukumbukwa daima ndani ya timu hiyo kutoka mitaa ya Chamanzi. Ibenge …
ISHU YA KOCHA MPYA YANGA, MABOSI WAPATA KIGUGUMIZI
Ukipiga simu kwenye uongozi wa klabu ya Yanga kuuliza nini mustakabali wao juu ya nani atakuwa kocha mkuu ajaye baada ya Roman Folz kuondoka, utachoambulia ni kuwa mchakato unaendelea na …
Yanga Vitani Leo Caf Champions League Nchini Malawi
Wawakilishi wa Tanzania katika anga la Kimataifa Yanga, wanatarajia kutupa karata yao ya kwanza leo kwenye ardhi ya Malawi kusaka nafasi ya kwenda hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa …
Neo Maema & De De Reuck Wabebeshwa Mzigo Eswatin
Klabu ya Simba ipo kwenye maandalizi ya mwisho kabla ya kutupa karata yao ya kwanza wakiwa ugenini dhidi ya Nsingizini Hotspurs ya Eswatin, huku nyota wawili raia wa Afrika Kusini, …
Tshabalala, Mzize Waongeza Mzuka Yanga
Kuelekea mchezo wa CAF Champions League kati ya Yanga SC dhidi Silver Strikers FC unaotarajiwa kuchezwa jioni ya leo nchini Malawi, Yanga wameendelea kuimarika zaidi baada ya wachezaji wake Clement …
Fountain Gate Kutambulisha Wachezaji Wake Kesho
Klabu ya Fountain Gate kesho Jumapili, itafanya tamasha ndogo la kutambulisha wachezaji wake wapya watakaotumika msimu huu. Tamasha hilo lililopewa jina la Tanzanite Day, litafanyika kwenye Uwanja wa Tanzanite Kwaraa, uliopo …
Ali Hassan Mwinyi Wafunguliwa Na TFF
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza rasmi kufunguliwa kwa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi uliopo Tabora, baada ya kukamilika kwa marekebisho yaliyokidhi vigezo vya kikanuni na sheria za …
Kaizer Chiefs Wawateua Ben Youssef na Kaze
Klabu ya Kaizer Chiefs FC imetangaza rasmi kuwapa majukumu ya ukocha wakuu Khalil Ben Youssef na Cedric Kaze, wakiongoza timu hiyo hadi mwisho wa msimu wa 2025/26. Uamuzi huu umefuatia …
Raya Asaini Mkataba Mpya na Arsenal Hadi 2028
Klabu ya soka ya Arsenal kutoka Uingereza imethibitisha kumpa mkataba ulioboreshwa rasmi mlinda mlango wao namba moja, David Raya, utakaodumu hadi mwezi Juni mwaka 2028. Hatua hii ni sehemu ya …
Eng. Hersi Said Aandika Historia Mpya Katika Soka la Dunia
Rais wa Klabu ya Yanga SC na Mwenyekiti wa Chama cha Vilabu Afrika (ACA), Eng. Hersi Said, ameandika historia mpya baada ya kuteuliwa rasmi na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) …

