Fadlu Davids Aanza Kwa Kishindo Raja Casablanca
Kocha mpya wa Raja Casablanca, Fadlu Davids, ameanza rasmi safari yake ya ukocha nchini Morocco kwa ushindi wa kuvutia ugenini dhidi ya Difaâ El Jadidi, katika mechi ya tatu ya …
Simba Kibaruani Bila Kelele Za Mashabiki
Wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC kesho wanakibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa hatua ya awali ambao utakuwa wa marudio dhidi ya Gaborone United ya …
Yanga Wanataka Ushindi Wa Rekodi Leo Kwa Mkapa
Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga SC amesema kuelekea mchezo wa kimataifa dhidi ya Wiliete leo Uwanja wa Mkapa kauli mbiu ni Mfumo Umekubali. Yanga SC ina kazi ya kusaka …
Barcelona Yakumbwa Na Pigo Kabla ya Mechi Dhidi ya PSG
Klabu ya FC Barcelona imekumbwa na msukosuko wa majeruhi kuelekea mchezo wao muhimu wa UEFA Champions League dhidi ya Paris Saint-Germain, baada ya kuthibitisha kuwa winga Raphinha na kipa Joan …
Yanga Na Hesabu Za Kimataifa Kesho
Wawakilishi wa Tanzania kwenye anga la kimataifa kwenye michuano ya Caf Champions League, Yanga SC, katika mchezo wa marudiano wa hatua ya awali wanakibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Wiliete …
Kombe la Dunia 2026 Hatihati Kuchezeka Marekani
Rais wa Marekani Donald Trump ameibua taharuki kubwa kuhusu maandalizi ya Kombe la Dunia la FIFA 2026, akitoa kauli kali kwamba yuko tayari kuhamisha mechi kutoka miji iliyopangwa endapo ataona …
Savinho Asaini Mkataba Mpya City, Tottenham Wapigwa Chenga
Ndoto za Tottenham Hotspur kumsajili winga wa Kibrazil Savinho zimeyeyuka rasmi baada ya Manchester City kuthibitisha kumfungia mkataba mpya hadi mwaka 2031. Kwa mujibu wa The Athletic, City wamechukua hatua …
Busquets Kutundika Daluga Baada ya MLS Playoffs
Kiungo mkongwe wa zamani wa FC Barcelona na sasa nyota wa Inter Miami, Sergio Busquets, ametangaza rasmi kuwa atastaafu soka mwishoni mwa msimu huu wa Major League Soccer (MLS), akimaliza …
Simbu Apandishwa Cheo JWTZ Baada ya Ushindi Tokyo
Mwanariadha mahiri wa Tanzania, Alphonce Felix Simbu, ameandika historia mara mbili ndani ya wiki moja, kwanza kwa kutwaa medali ya dhahabu katika Mashindano ya Dunia ya Riadha jijini Tokyo, Japan, …
Oscar Mirambo Ateuliwa Bosi Mpya Tff
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemteua rasmi Oscar Mirambo kuwa Kaimu Katibu Mkuu wa shirikisho hilo kuanzia Oktoba 1, 2025. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ofisa Habari …

