Fountain Gate FC Waja na Moto Mpya
Baada ya kukamilisha usajili wa mastaa wapya kwa mafanikio makubwa, klabu ya Fountain Gate FC iko tayari kuonyesha makali mapya msimu huu. Oktoba 12, mashabiki watafurika uwanja wa Tanzanite Kwaraa, …
Roman Folz Arudi Na Mizuka Yanga
Romain Folz, Kocha Mkuu wa Yanga SC amekiongoza kikosi hicho kwenye mazoezi ikiwa ni maandalizi kuelekea mchezo ujao wa kimataifa, Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga SC imetoka kucheza mchezo wa …
Jeanine Afungiwa Na Tff Kisa Sintofahamu Ya Jinsia
Baada ya taarifa kutoka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwamba limemsimamisha kwa muda mchezaji wa klabu ya Yanga Queens, Princess Jeanine Mukandiyisenga, raia wa Rwanda, kupisha uchunguzi wa kina kuhusu …
Simba Wanautaka Ubingwa Kwa Kila Namna
Simba SC imeendelea kuonyesha makali yake katika Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2025/26 kwa ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Namungo FC, kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Oktoba 1, …
Folz Bado Yupo Yupo Sana Jangwani
Licha ya tetesi zinazozagaa mitandaoni na kwenye vijiwe vya soka kuwa Kocha Mkuu wa Yanga SC, Roman Folz, huenda akatupiwa virago, taarifa za ndani kutoka kwa mabosi wa klabu hiyo …
Arsenal Waandamwa Na Pepo La Majeraha
Pamoja na Arsenal kupata ushindi wa pili mfululizo katika Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa kuichapa Olympiacos 2-0 katika dimba la Emirates, lakini furaha ya ushindi huo iligubikwa na hofu ya …
Koné Akaribishwa Aston Villa Kutoka ASEC Mimosas
Aston Villa imetangaza rasmi kumsajili kiungo chipukizi mwenye kipaji cha hali ya juu, Mohamed Koné, kutoka klabu maarufu ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast, kitovu cha vipaji ambacho kimewahi kuzalisha …
La Liga Yaguswa Na Matusi, Vurugu Za Mashabiki Viwanjani
Katika taarifa iliyotolewa na Marca, La Liga ilithibitisha kuwa mashabiki wa Atletico Madrid na Real Madrid walijihusisha na tabia isiyofaa. Mashabiki wa Atlético waliripotiwa kuwatukana mara kwa mara wachezaji wa …
PSG Na Bao la Dakika ya Mwisho kutoka kwa Ramos
Katika usiku wa kihistoria kwenye Uwanja wa Olimpiki jijini Barcelona, mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Paris Saint-Germain (PSG), walifanya maajabu kwa kuibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya …
Amorim Njia Panda Man United, Southgate Kuwa Mrithi
Kocha wa Manchester United, Ruben Amorim, anakabiliwa na presha kubwa baada ya kikosi chake kushuka hadi nafasi ya 14 kwenye msimamo wa Premier League kufuatia kipigo cha 3-1 dhidi ya …

