Makala nyingine
Makala mpya
Spalletti Mbioni Kujiunga Juventus
Sky Sport Italia yaripoti Juventus wanapanga kukutana ana kwa ana na Luciano Spalletti kujadili uwezekano wa kumteua kuwa kocha mkuu mpya wa Bianconeri Jumanne, huku “Old Lady” ikitarajiwa kumpa mkataba …
Yildiz Amshukuru Tudor Baada ya Kutimuliwa Juventus
Mchezaji wa Juventus, Kenan Yildiz, ametuma salamu za heri kwa Igor Tudor, aliyefutwa kazi kama kocha mkuu wa Juventus siku ya Jumatatu, akisema: “Kila la heri kwa siku zijazo.” Juventus …
Liverpool Yazidi Kuwa na Hali Mbaya EPL
Klabu ya Liverpool chini ya kocha mkuu Arne Slot imezidi kupata mwendelezo mbaya wa matokeo kwenye ligi kuu baada ya kupoteza mechi yake ya 4 mfululizo wikendi hii dhidi ya …
Napoli Wahofia Jeraha Kubwa la De Bruyne Baada ya Ushindi Dhidi ya Inter
Ushindi wa Napoli wa 3-1 dhidi ya Inter umerudisha morali katika Stadio Maradona, ukileta matumaini na mwendo mzuri, lakini sherehe zilipunguzwa na hofu mpya ya jeraha kwa Kevin De Bruyne. …
Tudor: “Juventus Wako Kwenye Wakati Mgumu, Lakini Mimi Sijali Kuhusu Mustakabali Wangu.”
Kocha Tudor amesema kuwa kwa sasa Juventus ipo katika kipindi kigumu, lakini amesisitiza kuwa jambo hilo halimbanyi wala halimfanyi kuwa na wasiwasi kuhusu mustakabali wake katika timu hiyo. Akitumia sauti …
Dube Apewa Ujumbe Wa Matumaini Na Ali Kamwe
Watu wote watakuwa wanakubali kuwa mshambuliaji wa Yanga, raia wa Zimbabwe Prince Dube, anapitia kipindi kigumu sana ndani ya Yanga, baada ya kukaa muda mrefu bila kupata bao. Mbaya zaidi, …
Barcelona Yapigika Mechi ya El Clasico
Ligi kuu ya Hispania iliendelea kwa michezo kadhaa ambapo mechi kali kabisa ilikuwa hii ya El Clasico kati ya Real Madrid vs FC Barcelona ambapo mchezo huo ulimalizika kwa vijana …
Silver Strikers Watamba Kuwamaliza Yanga
Wapinzani wa Yanga SC, Silver Strikers wameanza kiburi mapema kuelekea kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Yanga SC, Oktoba 25,2025. Yanga SC wanakibarua cha kusaka angalau ushindi …
Yanga Presha Kubwa Kuelekea Kufuzu Makundi
Inaelezwa viongozi wa Yanga wamekuwa na presha kubwa kuelekea kwenye mechi yao ya kesho dhidi ya Sliver Strikers wakiwa na uhakika mdogo wa kama watafuzu kwenda hatua ya makundi ya …
Simba Wameanza Kuwapigia Hesabu Al Ahly
Klabu ya Simba ni kama tayari imejithibitishia kuwa itakwenda kucheza hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika na tayari wameanza kuota ni mpinzani gani wanataka kucheza naye, baada ya …


