Ligi kuu ya NBC kuendelea kesho kwa mchezo mmoja ambapo Ruvu Shooting watakuwa nyumbani kuwaalika TZ Prisons huku kila mmoja akihitaji kujipatia pointi tatu za kumuwezesha kusogea mbele.

Ruvu Shoooting wamecheza michezo 10 kwenye Ligi na wamejishindia mechi tatu, wakienda sare mara moja, na kupoteza michezo sita mpaka sasa. Wakati kwa upande wa Prisons wao wamecheza michezo 9.
Wameshinda michezo mitatu, sare nne, na wamepoteza michezo miatatu wakiwa na pointi 13 kwenye msimamo mpaka sasa.

Ruvu Shooting mechi ya mwisho ya Ligi amepoteza dhidi ya Mbeya City, wakati TZ Prisons yeye akienda sare ya kufungana dhidi ya Namungo akiwa nyumbani kwake. Mchezo huo unatarajiwa kupigwa saa 10:00 jionu.
Mechi 5 za mwisho kukutana timu hizi Ruvu alishinda michezo mitatu huku Prisons walishinda michezo miwili. Je nani leo kuondoka na ushindi leo?

Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.
BONYEZA HAPA

