Yanga Uso kwa Uso Dhidi ya Namungo

Klabu ya Yanga watamenyana kesho dhidi ya Wauaji wa Kusini Namungo kwenye mchezo wao wa 22 huku mabingwa hao watetezi wa Ligi kuu ya NBC wakihitaji kutetea taji lao kwa mara ya pili.

 

Yanga Uso kwa Uso Dhidi ya Namungo

Yanga wapo nafasi ya kwanza kwenye msimamo baada ya kushinda mechi zao 18, sare mbili na wakipoteza mara moja pekee tuu wakiwa na pointi 56 hadi sasa. Wameshinda mechi tano mfululizo.

Huku kwa upande wa Namungo wao wanashikilia nafasi ya sita wakishinda mechi zao nane, sare tano na kupoteza mara nane, na kujikusanyia pointi 29 pekee. Mechi tano za mwisho wameshinda tatu, sare moja na wamepoteza mara moja.

Yanga Uso kwa Uso Dhidi ya Namungo

Vijana wa Nabi wanahitaji ushindi hapo kesho ili waweze kujiweka kwenye nafasi nzuri ya msimamo pia lakini pia wamuachez mbali mpinzani wao Simba ambao mpaka sasa wamemuacha pointi 6.

Mechi za msimu uliopita walipokutana, Young Africans alishinda zote na kuondoka na pointi sita kwenye jumla ya michezo hiyo.

 

 

 

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.