Mancini Avunja Ukimya Kufuatia Kujiuzulu Kwake Timu ya Taifa Italia

Roberto Mancini ametoa maoni yake kwa mara ya kwanza kufuatia uamuzi wake wa kujiuzulu kama kocha mkuu wa timu ya taifa ya Italia hapo jana mchana.

 

Mancini Avunja Ukimya Kufuatia Kujiuzulu Kwake Timu ya Taifa Italia

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 58 alitumia Instagram kuaga taifa, akiwashukuru wachezaji na mashabiki wake kwa sapoti ambayo wamempa katika kipindi cha utawala wake wa miaka mitano.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Mancini amesema, “Kujiuzulu kama CT ya Nazionale ilikuwa uamuzi wangu binafsi. Ningependa kumshukuru Gabriele Gravina kwa imani aliyoonyesha kwangu, pamoja na wanachama wote wa FIGC.”

Mancini Avunja Ukimya Kufuatia Kujiuzulu Kwake Timu ya Taifa Italia

Ninawasalimia na kuwashukuru wachezaji wangu wote pamoja na mashabiki, ambao wamesimama nami kwa miaka mitano iliyopita. Daima nitashikilia ushindi wa ajabu kwenye EURO 2020 karibu na moyo wangu. Imekuwa heshima. Amesema kocha huyo.

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Ripoti nyingi tayari zimeanza kueleza kuwa Mancini anaweza kuteuliwa kushika nafasi hiyo ya ukocha mkuu wa timu ya taifa ya Saudi Arabia.

Mancini Avunja Ukimya Kufuatia Kujiuzulu Kwake Timu ya Taifa Italia

Imeripotiwa kuwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 58 anaweza kuweka kandarasi ya miaka mitatu katika siku zijazo.

Acha ujumbe