Simba na Ihefu Kukiwasha Leo Michuano ya ASFC

Klabu ya Simba SC ambayo inaongozwa na kocha mkuu Robertinho wanatajia kushuka dimbani hii leo kucheza mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam dhidi ya Ihefu kutoka Mbeya.

 

Simba na Ihefu Kukiwasha Leo Michuano ya ASFC

Simba mpaka sasa inashikilia nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi kuu ya NBC akiwa na pointi zake 57 baada ya kucheza mechi zake 24, ushindi mara 17, sare 6, na kupoteza mara 1 pekee.

Wakati kwa upande wa Ihefu yeye kwenye msimamo wa ligi yupo nafasi ya 6 akiwa na pointi zake 33 baada ya kuhsindamechi zake 25, ushindi mara 10, sare 3 na kupoteza mara 12.

Simba na Ihefu Kukiwasha Leo Michuano ya ASFC

Mechi ya mwisho kukutana Simba liondoka na ushindi akiw akwa Mkapa. Na leo yupo kwa Mkapa je anaweza kuendeleza ubabe aua Ihefu anaweza kumzuia? Bashiri na Meridianbet mechi kibao.

 

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.