Singida Big Stars Kumenyana Dhidi ya Polisi Tanzania Leo

Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara kuendelea hii leo kwa michezo miwili ambapo mchezo wa mapema ni huu unaowakutanisha kati ya Singida Big Stars dhidi ya Polisi Tanzania majira ya saa 10:00 jioni.

 

Singida Big Stars Kumenyana Dhidi ya Polisi Tanzania Leo

Mchezo huo utapigwa katika dimba la Liti huku timu hiyo ya Pluijm ikiwania nafasi nne bora za juu kabla ya ligi kuu haijamalizika ambapo mpaka sasa Singida anashikilia nafasi ya 3 akiwa na pointi zake 48 akiwa ameshinda mechi zake 14, sare 6, na kupoteza mara 5.

Wakati Polisi Tanzania bado hali mbaya sana kwenye msimamo wa ligi akiwa nafasi ya mwisho baada ya kukusanya pointi zao 19, akishinda mechi zake 4, sare 7 na kupoteza mara 14.

Singida Big Stars Kumenyana Dhidi ya Polisi Tanzania Leo

Walima alizeti wanaitaka nafasi ya tatu halikadhalika, Polisi Tanzania nao bado wanataka kupata ushindi lakini je wataweza mbele ya vijana wa Pluijm ambao wanaonekana kuwa na ubora kabisa.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.