KMC Yachapika Chamazi

Klabu ya KMC imeshindwa kufurukuta hapo jana baada ya kuchezea kichapo cha mabao 5-0 dhidi ya Yanga katika dimba la Chamazi majira ya saa 1:00 jioni.

 

KMC Yachapika Chamazi

KMC alikuwa ugenini baada ya mechi ya kwanza ya ligi kutoa sare akiwa ugenini pia dhidi ya Namungo lakini sare ile ilikuwa ya kufungana bao 1-1.

Wakati huo huo Yanga ndio mechi yao ya kwanza na wameanza vizuri kwa kufunga mabao mengi huku yakifungwa na wachezaji mbalimbali akiwemo Aziz Ki, Konkoni, Job, Mudathir, Pacome.

KMC Yachapika Chamazi

Vijana wa Moallini walizidiwa kila kitu kwenye mchezo huo kuanzia eneo la mbele, ulinzi na kiungo huku mashbiki wakimsifu mwalimu Gamondi kwa kuibadilisha klabu hiyo ya kuwa inafunga magoli mengi.

Wanakino Boys wanahitaji kujipanga zaidi baada ya msimu uliopita kuangukia Pla-off na hatimaye kuweza kusalia kwenye Ligi. Je msimu huu watashika namba gani?

 

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.