Msimu Mpya: Ratiba ya La Liga
Siku kadhaa nyuma ratiba ya msimu mpya wa Ligi Kuu ya huko Hispania, La Liga 2017/18 ilitoka na gemu za kwanza zitasakatwa wikiendi ya kuanzia Agosti 18. Katika wikiendi hiyo …
“Sina Papara na Wachezaji Wapya!” – Bosi wa Barca
Wakati ambapo kuna ripoti za klabu ya soka ya Barcelona kuwa ina uwezekano wa kumtoa Ivan Rakitic ili imsajili mpiga soka wa kimataifa wa huko Italia, Marco Verratti anayekipiga pale …
Imekwisha! Nyanda Joe Hart Yupo West Ham!
Kuna habari zikitanabaisha ya kuwa nyanda wa klabu ya Manchester City, Joe Hart ameshafuzu vipimo vya afya! Sasa ameshakamilisha usajili wa mkopo kukipiga kwa klabu ya West Ham United. Man …
Wiki Hii Kitaeleweka Pale City Juu ya Dani Alves!
Kwa mujibu wa mtandao wa Sun imeripotiwa kwamba klabu ya kule Ligi Kuu ya Uingereza, Manchester City watafanya juu chini ili kukamilisha mpango wa kumnasa beki Dani Alves juma hili! …
Huenda Chambo cha Mbappe ni Gareth Bale!
Ikiwa kuna tetesi za mpango wa klabu ya soka ya Real Madrid kumuwinda msakata kabumbu kinda Kylian Mbappe habari zinasema kuwa vyombo vya habari vya huko Uhispania vimetoka na ripoti …

