Ligi Kuu ya NBC Msimu Ujao Kuanza Rasmi Agosti 15

Hatimaye Bodi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo imetangaza msimu mpya wa NBC premier League 2023/24 ambao utaanza Agosti 15 2023 na kumalizika Mei 25, 2024.

 

Ligi Kuu ya NBC Msimu Ujao Kuanza Rasmi Agosti 15

Msimu uliopita wa ligi kuu zilishuhudiwa mechi za kibabe na upinzani mkubwa kutoka katika kila timu huku zingine zikipambani ubingwa na zingine zikipambana kusalia ndani ya ligi.

Endelea kubashiri na Meridianbet kwa odds kubwa na za uhakika, mechi mubashara na michezo mbalimbali ya kasino imejaa tele. Ingia www.meridianbet.co.tz na ucheze sasa.

Na hatimaye ligi ilimalizika na Bingwa akawa Yanga ambaye alichukua kwa mara ya pili mfululizo mbele ya watani wao Simba ambao walishika nafasi ya pili kwa mara nyingine tena.

Ligi Kuu ya NBC Msimu Ujao Kuanza Rasmi Agosti 15

Yanga walichukua ubingwa huo chini ya kocha mkuu Nasredine Nabi ambaye kwasasa ameshaondoka klabuni hapo baada ya kukaa kwa misimu miwili na kuipatia Yanga mafanikio ya kufika Fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika na kuwa mshindi wa pili.

Sasa wana kocha mpya Gamondi ambaye anatarajiwa kukiongoza kikosi ghicho kuelekea mafanikio yao msimu ujao huku Mnyama nae akijipanga kutetea taji la NBC ambalo wamelikosa misimu miwili.

Ligi Kuu ya NBC Msimu Ujao Kuanza Rasmi Agosti 15

Klabu zinafanya usajili kuelekea msimu ujao. Je nani ataweza kuchukua Kombe msimu ujao kutokana na usajili unaofanyika.

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.