Simba Yaendelea Kujiweka Vizuri kwa Kuipasua Turan FC

Klabu ya Simba imeendelea kujiweka vizuri kwaajili ya msimu ujao kwa kuendelea kucheza mechi za kirafiki, ambapo asubuhi ya leo wameifunga Turan FC mabao 2-0.

 

Simba Yaendelea Kujiweka Vizuri kwa Kuipasua Turan FC

Mabao hayo ya Simba yametupiwa kimyani na Kibu Dennis na John Bocco katika kipindi cha pili cha mchezo huku majira ya jioni wakitarajia kucheza mchezo mwingine wa kirafiki.

Baada ya kufanya usajili mkubwa msimu huu dirisha kubwa la usajili klabu hiyo ambayo ipo chini ya kocha mkuu Robertinho wanatajia kufanya vizuri msimu huu baada ya kukosa taji la ligi kuu mara mbili mfululizo.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Simba Yaendelea Kujiweka Vizuri kwa Kuipasua Turan FC

Klabu hiyo itakuwa na kilele chake mwezi Agosti 06 ambapo kutakuwa na zoezi zima la kutambulisha wachezaji waliopo na waliosajiliwa mbele ya mashabiki zao huku pia wakitarajia kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Power Dynamos.

Unafikiri kuwa Simba msimu ujao anaweza kutetea taji la Ligi ambalo amelipoteza mbele ya mpinzani wao Yanga?.

 

 

Acha ujumbe