Milan wafungwa Mabao 5 San Siro kwa Mara ya Kwanza Katika Miongo Kadhaa

Milan wameruhusu mabao matano nyumbani kwa mara ya kwanza baada ya miongo kadhaa kufuatia ushindi wa Sassuolo wa 5-2.

 

Milan wafungwa Mabao 5 San Siro kwa Mara ya Kwanza Katika Miongo Kadhaa

Mialan walikuwa na matumaini ya jibu zuri dhidi ya Neroverdi kufuatia kushindwa kwao 4-0 na Lazio ya Maurizio Sarri siku ya Jumanne, lakini walishindwa kufikisha alama kwenye Uwanja wa Stadio Giuseppe Meazza, na kufanya maonyesho mengine mabaya.

Mabao ya Gregoire Defrel, Davide Frattesi, Domenico Berardi, Armand Lauriente na Matheus Henrique yaliihakikishia Sassuolo ushindi wa 5-1 ambao haukutarajiwa.

Milan wafungwa Mabao 5 San Siro kwa Mara ya Kwanza Katika Miongo Kadhaa

OptaPaolo aliangazia jinsi hii ilikuwa mara ya kwanza kwa Milan kufungwa mabao matano au zaidi wakiwa nyumbani tangu walipofungwa 6-1 na Juventus mnamo Aprili 6, 1997.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.